Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi
Wednesday, January 11, 2006
NIMO NDANI YA NYUMBA
Najua kuna wengi wametangulia wakiwa na nia moja kubwa ya kutoa mawazo yao ili wengine wayaelewe na ikiwezekana wachangia kwa kadri wanavyoweza. Nami nachukua fursa hii ili niweze kushirikiana na wasomaji wengi. Najua mtanikaribisha
2 comments:
Ulikuja siku nyingi ila ulikuja kimya kimya mno! Unatumia maneno makali kama risasi kwenye makala zako. Tusonge mbele.
Post a Comment