ETI KIKWETE ANASAFIRI SANA!!!!!!!
Ni majuzi tu rais wetu mpendwa na ambaye pia ni mwenyekiti wa chama chetu kinachodumu amerejea kutoka safari ambazo sasa zimekuwa ni za kawaida kwake. Inawezekana watu wanaolaum safari hizi hawajui kuwa huyu aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje! Wewe unaonaje, unadhani hajasahau kuwa cheo sasa ni kipya?
2 comments:
Nadhani ni wapinzani tu wasioona manufaa kwa ziara (usiziite safari) anazofanya kikwete. Tumeona jinsi baadhi ya nchi zilivyoahidi kuleta misaada yao kwa Tanzania.
Safari zake zina manufaa sana
Duh! Prez anasafiri utadhani rubani
Post a Comment