Sunday, April 29, 2007

SIMBA NI KIBOKO

Katika ligi ndogo ya soka inayoendelea Tanzania timu ya Simba ndiyo klabu pekee ambayo kipa wake Mustafa ndiye kipa pekee ambaye hajaokota mpra katika nyavu anayoilinda ukiacha magoli ya 'TFF' waliyopewa timu ya Ashanti

Kwa utendaji huu wa tiefuefu nadhani kazi bado ipo kwani hakuna haja ya wao kama chama cha soka kufanya kazi kwa ushabiki tena katika ligi hii ndogo ammbayo haina mwenyeji wala mgeni. Kumfungia mechi sita Golota kwa upande wangu si halali kwani kosa moja katika soka haliwezi kuzaa adhabu kubwa namna hiyo

2 comments:

Anonymous said...

NA JANA TUMEWAFANYA NINI CHELSEA......!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Soka hilo wewe anonymous! Najua chesii ingeshinda mngechonga sana. Na si lazima kila siku tushinde, isingekuwa futboli tena bali futichesii