Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi
Monday, March 27, 2006
TUKO MAPUMZIKO YaaaH! Baada ya mitihani kwisha sasa tuko katika mapumziko ya kama wiki tatu. Ningependa sana nikusimulie kuhusu yale yote yaliyojiri katika kipindi cha examz, nakuahidi nitafanya hivyo kwa sas relax
No comments:
Post a Comment