Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi
Tuesday, August 10, 2010
Najikamilisha, utaratibu ni wa chama na wewe unahusika kuchagua kiongozi bora na si mtawala
3 comments:
Wewe ndo unafaa kuwa rais
Ni upumbafu kuwategemea sisiemu kutuletea maendeleo
Yaani kweli wewe anony wa pili unadhani sisiemu wanaweza kuleta maendeleo je umewasikia wanavyozitetea ajira milioni moja, nyambavu
Post a Comment