Sunday, August 01, 2010

Mambo ya soka la mchangani

Mpira umepotela kichakani, hapa ni katika viwanja vya Machava Kigamboni

Nasaka mpira
Hadi kipa inabidi aingie kichakani kusaka mpira

1 comment:

Anonymous said...

Unanikumbusha enzi hizo mpira uking'ang'ania juu ya mti kila mtu anaokota mawe na kinachofuata sasa ni manundu mtindo mmoja