Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi
Tuesday, January 05, 2010
Safari ya kurudi Dar imefika na sasa ndo tumewasili Ubungo
Kabla ya mchezo na Maji
Hapa ni baada ya mechi na timu ya chuo cha Maji, tulipoteza mchezo kwa seti 3 kwa 2
Fainali kati IFM na DIT, mchezo ulimalizika kwa DIT kuwashinda IFM kwa penati
No comments:
Post a Comment