Safari ya kurudi Dar imefika na sasa ndo tumewasili Ubungo
Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi