Asubuhi inapoanza na jua tamu kuchomoza basi pana shaka mchana wa jua unakaribia ukiita jioni kwa sauti kavu kama mtu asiyekunywa maji, na haya ndiyo Machweo yenyewe ambayo mtu hukaa na wenzake kutafakari nini amefanya kwa mchana na apange nini kwa kesho inayosadifiwa na nyota zinazoonekana kwa wingi
Thursday, December 28, 2006
HERI YA MWAKA MPYA Wapendwa wasomaji wa blog hii, ninapenda kuwatakia baraka na mafanikio katika mwaka mpya wa 2007
Machweo inaahidi kutochoka kuwapa kile ambacho kinafaa kwa macho na akili zako, na kwa mwaka huu 07 tegemea makubwa zaidi
No comments:
Post a Comment